Skip to main content
Humanities LibreTexts

2.6: Matumizi ya Lugha

  • Page ID
    79908
  • \( \newcommand{\vecs}[1]{\overset { \scriptstyle \rightharpoonup} {\mathbf{#1}} } \) \( \newcommand{\vecd}[1]{\overset{-\!-\!\rightharpoonup}{\vphantom{a}\smash {#1}}} \)\(\newcommand{\id}{\mathrm{id}}\) \( \newcommand{\Span}{\mathrm{span}}\) \( \newcommand{\kernel}{\mathrm{null}\,}\) \( \newcommand{\range}{\mathrm{range}\,}\) \( \newcommand{\RealPart}{\mathrm{Re}}\) \( \newcommand{\ImaginaryPart}{\mathrm{Im}}\) \( \newcommand{\Argument}{\mathrm{Arg}}\) \( \newcommand{\norm}[1]{\| #1 \|}\) \( \newcommand{\inner}[2]{\langle #1, #2 \rangle}\) \( \newcommand{\Span}{\mathrm{span}}\) \(\newcommand{\id}{\mathrm{id}}\) \( \newcommand{\Span}{\mathrm{span}}\) \( \newcommand{\kernel}{\mathrm{null}\,}\) \( \newcommand{\range}{\mathrm{range}\,}\) \( \newcommand{\RealPart}{\mathrm{Re}}\) \( \newcommand{\ImaginaryPart}{\mathrm{Im}}\) \( \newcommand{\Argument}{\mathrm{Arg}}\) \( \newcommand{\norm}[1]{\| #1 \|}\) \( \newcommand{\inner}[2]{\langle #1, #2 \rangle}\) \( \newcommand{\Span}{\mathrm{span}}\)\(\newcommand{\AA}{\unicode[.8,0]{x212B}}\)

    SARUFI: KUWA NA

    Kitenzi kuwa kinatumika katika tensi mbalimbali zinazoitwa Tensi za Maneno Mawili, kama vile nilikuwa nikisema, ‘I was saying’, n.k. (=na kadhalika). Kitenzi kuwa na, ‘to have’ kinatumika zaidi.

    Zoezi la kwanza. WAKATI ULIOPITA; WAKATI ULIOPO.
    Badilisha sentensi kama unavyoonyeshwa katika mfano.
                     *            Regina alikuwa na watoto watano.
                    –>         A: Kumbe, Regina ana watoto watano?
                                  B: Ndiyo, anao.
                   _______________________________________
    1          Chumba kilikuwa na watoto.
    2          Wachawi walikuwa na nguvu.
    3          Namagondo ilikuwa na nyumba chache.
    4          Samaki alikuwa na miba.
    5          Mzigo ulikuwa na kufuli.
    6          Honorata alikuwa na shamba la pamba.
    [Pattern translated: * Regina had five children. –> A: So Regina has five children? B: Yes, she does (have them).]

    Zoezi la pili. KANUSHA WAKATI ULIOPITA.
    Badilisha sentensi katika Zoezi la pili kama unavyoonyeshwa katika mfano.
               *             Regina alikuwa na watoto watano.
                –>          A: Kumbe nimesikia eti hakuwa na watano.
                               B: Kumbe!
                _________________________________________
    [Pattern translated: * Regina had five children. –> A: Hm, I heard that she didn’t have five. B: Hm!]

    Zoezi la tatu. KANUSHA WAKATI UJAO.
    Tunga sentensi zenye sarufi hii ukitumia picha za kutoka mtandaoni, kama AfricaFocus: http://africafocus.library.wisc.edu/
                           atakuwa na (s/he will have)
                            hatakuwa na (s/he won’t have)


    2.6: Matumizi ya Lugha is shared under a CC BY-NC-SA license and was authored, remixed, and/or curated by LibreTexts.

    • Was this article helpful?