Skip to main content
Humanities LibreTexts

12.3: Jamii (picha)

 • Page ID
  79969
 • Karibu mgeni.

   

  Sebule.

   

  Kitanda.

   

  Mijusi wakitembea chumbani.

  Activity:

  Picha hizi zinaonyesha makazi ya kawaida ya baadhi ya watanzania. Andika insha kuhusu makazi yako na jinsi yanavyo fanana au kutofautiana na makazi katika picha.

  • Was this article helpful?