Skip to main content
Humanities LibreTexts

10.3: Usafirishaji (picha)

 • Page ID
  79957
 • Boti ikikaribia Nansio.

   

  Boti ikiingia bandarini, Nansio.

  Boti “Butiama” imeingia bandarini.

   

  Nansio Port.

   

  Mwandishi Kezilahabi akitoka botini.

   

  Mchezo wa Kuigiza

  Wewe ni Rosa. Baba yako amekuja kukupokea katika bandari ya Nansio. Andika mazungumzo kati yenu kwa muda huo.

  • Was this article helpful?