Skip to main content
Humanities LibreTexts

9.5: Jamii (picha)

 • Page ID
  79953
 • Nyumba ya mwalimu Morogoro.

   

  Ndani ya nyumba: Kitanda na chandarua.

   

  Chandarua: wakati wa kulala.

   

  Sebule, yaani chumba cha kuzungumzia.

  Exercise

  Andika insha ya aya mbili. Eleza mazingira ya ndani ya nyumba ya Mwalimu Thomas wakati Rosa alitembea kwake. Leta kwa mwalimu darasani.

  • Was this article helpful?