Skip to main content
Humanities LibreTexts

1.4: Video 3: Chakula

 • Page ID
  79896
 •  

  Exercises

  1.Familia ya Bwana na Bibi Mwisongo wanafanya nini kwenye Video?

  2. Tazama Video tena na utaje vyakula wanavyokula.

  3. Katika aya moja, taja tofauti kati ya familia ya Mwisongo ya ile ya Zakaria kwenye Rosa Mistika.

  4.  Eleza ni nini kinachofanyika kuanzia chakula kifikapo mezani hadi mwisho wa kula.

   

   

  • Was this article helpful?